Mwili wa aliyekuwa Waziri Mkuu na Makamu wa kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (mstaafu), Hayati Cleopa David Msuya, ukiwasili katika Viwanja vya Cleopa David Msuya, katika Wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro leo Mei 12, 2025.

Baadhi ya viongozi wakiwa wamesimama wakati mwili wa aliyekuwa Waziri Mkuu na Makamu wa kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (mstaafu), Hayati Cleopa David Msuya, ukiwasili katika Viwanja vya Cleopa David Msuya, katika Wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro leo Mei 12, 2025.
Baadhi ya waombolezaji wakiwa wamekaa baada ya mwili wa aliyekuwa Waziri Mkuu na Makamu wa kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (mstaafu), Hayati Cleopa David Msuya, kuwasili katika Viwanja vya Cleopa David Msuya, katika Wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro leo Mei 12, 2025.
0 Maoni