Mratibu wa Bonanza la Mac D pamoja na mbio za kujifurahisha
(Fun Run) 2025 Denzel Rweyunga akizungumzia Bonanza hilo lililopangwa kufanyika
Siku ya Jumamosi tarehe 07/6/2025 kuanzia asubuhi saa 12:00 alfajiri katika
viwanja vya Chuo cha Taifa cha Jeshi (National Defense College NDC), Jijini Dar
es Salaam. Mkutano huo umefanyika leo
Mei 1, 2025 katika ukumbi wa EB Twenty Five.
Afisa Masoko Mwandanizi wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) Albert Mboto akizungumza katika mkutano wa kutangazwa Bonanza la Mac D pamoja na mbio za kujifurahisha (Fun Run) 2025, lililopangwa kufanyika Siku ya Jumamosi tarehe 07/6/2025 kuanzia asubuhi saa 12:00 alfajiri katika viwanja vya Chuo cha Taifa cha Jeshi (National Defense College NDC), Jijini Dar es Salaam.
Meneja Masidizi wa Zaks’s bay Liquor Store Veleria Msaki akizungumza katika mkutano wa kutangazwa Bonanza la Mac D pamoja na mbio za kujifurahisha (Fun Run) 2025, lililopangwa kufanyika Siku ya Jumamosi tarehe 07/6/2025 kuanzia asubuhi saa 12:00 alfajiri katika viwanja vya Chuo cha Taifa cha Jeshi (National Defense College NDC), Jijini Dar es Salaam.
Afisa Mauzo Mwandamizi wa Bonite Bottles Limited (Kilimanjaro Drinking Water) Joseph Semali (aliyeshika chupa ya maji ya Kiliamjaro) akizungumza katika mkutano wa kutangazwa Bonanza la Mac D pamoja na mbio za kujifurahisha (Fun Run) 2025, lililopangwa kufanyika Siku ya Jumamosi tarehe 07/6/2025 kuanzia asubuhi saa 12:00 alfajiri katika viwanja vya Chuo cha Taifa cha Jeshi (National Defense College NDC), Jijini Dar es Salaam.
Afisa Usafirishaji Isumba Trans Limited Linus Chuwa akizungumza katika mkutano wa kutangazwa Bonanza la Mac D pamoja na mbio za kujifurahisha (Fun Run) 2025, lililopangwa kufanyika Siku ya Jumamosi tarehe 07/6/2025 kuanzia asubuhi saa 12:00 alfajiri katika viwanja vya Chuo cha Taifa cha Jeshi (National Defense College NDC), Jijini Dar es Salaam.
Meneja Operesheni wa Pwani Inland Clearence Depot (PICD) Gerrald Kasigwa akizungumza katika mkutano wa kutangazwa Bonanza la Mac D pamoja na mbio za kujifurahisha (Fun Run) 2025, lililopangwa kufanyika Siku ya Jumamosi tarehe 07/6/2025 kuanzia asubuhi saa 12:00 alfajiri katika viwanja vya Chuo cha Taifa cha Jeshi (National Defense College NDC), Jijini Dar es Salaam.
0 Maoni