Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika
uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa 4 De Fevereiro Luanda kwa ajili ya Ziara ya
Kiserikali ya siku 3 nchini Angola tarehe 07 Aprili, 2025. Rais Dkt. Samia
amealikwa na Rais wa Angola Mhe. João Manuel Gonçalves Lourenço na lengo la ziara
hiyo ni kukuza na kuimarisha zaidi mahusiano ya kihistoria na kidugu baina ya
Tanzania na Angola.
0 Maoni