WAZIRI MKUU,
Kassim Majaliwa leo Aprili 7, 2025 ameshiriki Maadhimisho ya Kumbukumbu ya
Miaka 53 ya kifo cha Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Sheikh Abeid Amani Karume
kwenye Afisi Kuu ya CCM Kisiwandua Zanzibar.
Viongozi
wengine aliohudhuria ni pamoja na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed
Suleiman Abdulla, Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Stephen Wasira, Mjane wa
Hayati Karume, Mama Futuma Karume, Watoto ya Hayati Karume, Amani Abedi Karume
na Balozi, Ali Abeid Karume, Rais Mstaafu wa Zanzibar,
Ali Mohamed Shein.
0 Maoni