Bunge la Bajeti kuanza kesho Dodoma

 

Mkutano wa Kumi na Tisa wa Bunge la Kumi na Mbili kuanza kesho Aprili 8, 2025, ambapo mkutano huo ni mahususi kwa ajili ya kujadili na kupitisja Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2025/2026.



Chapisha Maoni

0 Maoni