Mkurugenzi Mtendaji wa
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga amefariki
dunia usiku wa kuamkia leo Aprili 13, 2025 katika ajali iliyotokea wilayani
Bunda mkoani Mara.
Mkuu wa Mkoa wa Mara, Evans
Mtambi amethibitisha kutokea kwa tukio hilo, ambapo amefafanua kuwa limetokea
kati ya majira ya saa 6 hadi saa 7 usiku wa kuamkia leo.
0 Maoni