Rais Samia aweka jiwe la msingi upanuzi Msikiti Mkuu wa Ijumaa

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiweka jiwe la msingi la upanuzi wa Msikiti Mkuu wa Ijumaa uliopo Tanga mjini tarehe 26 Februari, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo ya ramani ya msikiti baada ya kuweka jiwe la msingi la upanuzi wa Msikiti Mkuu wa Ijumaa uliopo Tanga mjini tarehe 26 Februari, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza viongozi mbalimbali pamoja na Waumini wa dini ya Kiislam mara baada ya kuweka jiwe la msingi upanuzi wa Msikiti Mkuu wa Ijumaa uliopo Tanga mjini tarehe 26 Februari, 2025.

Sheikh akisoma dua katika Msikiti Mkuu wa Ijumaa uliopo Tanga mjini leo tarehe 26 Februari, 2025, ambao umewekwa jiwe la msingi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya upanuzi wake.







Chapisha Maoni

0 Maoni