Rais Samia awasili katika uwanja wa Mkwakwani Tanga

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Mkwakwani kwa ajili ya kuwahutubia wananchi mkoani Tanga tarehe 28 Februari, 2025.

Shamrashamra za wananchi kwenye mkutano wa hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan uliofanyika katika uwanja wa Mkwakwani mkoani Tanga tarehe 28 Februari, 2025.

Chapisha Maoni

0 Maoni