Rais Samia afanya uteuzi, uhamisho na mabadiliko ya viongozi

 

Rais wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi, uhamisho na mabadiliko ya viongozi mbalimbali. Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka inaelezea kwa kina uteuzi huo.






Chapisha Maoni

0 Maoni