Rais wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya
uteuzi, uhamisho na mabadiliko ya viongozi mbalimbali. Taarifa iliyotolewa na
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka inaelezea kwa kina uteuzi huo.

0 Maoni