Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi
na Mafunzo CPA Amos Makalla amesema CCM itakuwa na kikao cha Halmashauri Kuu ya
CCM Taifa (NEC) kitakachofanyika Jijini Dodoma Januari 17, 2025 chini ya
Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu
Hassan.
0 Maoni