Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemteua Prof. Mohamed Yakub Janabi kuwa Mshauri wa Rais Masuala ya Afya na Tiba.
Taarifa ya
Ikulu aliyoitolewa leo na Katibu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusilika imesema pamoja
na nafasi hiyo Prof. Janabi ataendelea kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya
Taifa Muhimbili.
0 Maoni