Marehemu atunukiwa Shahada ya Udaktari OPEN

 

“Mhitimu wa Udaktari aliyetangulia mbele ya haki marehemu Bile Mwakatega ametunukiwa Shahada ya Usamivu ya Udaktari wa Falsafa katika Chuo Kikuu Huria.Utafiti wake ulihusu changamoto zinazoathiri udhibiti wa kutokea kwa moto kwenye masoko nchini,” Mhe. Kasim Majaliwa.

Chapisha Maoni

0 Maoni