Waziri Mkuu awasilisha pole za Rais kwa majeruhi wa ghorofa la Kariakoo

 

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa amefika katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kuwajulia hali majeruhi wa ajali ya ghorofa lililoporomoka leo Kariakoo Jijini Dar es Salaam na kuwasilisha salamu za pole za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, huku akieleza kuwa ameridhishwa na huduma walizopatiwa majeruhi.


Chapisha Maoni

0 Maoni