Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akimfariji Gavana wa Benki Kuu ya
Tanzania, Emmanuel Tutuba nyumbani kwa Gavana huyo Oysterbay jijini Dar es
salaam alipokwenda kumpa pole November 3, 2024 kufuatia kifo cha baba yake mzazi, Mzee John Tutuba kilichotokea katika
Hospitali ya Shifaa Pan African ya Kinondoni jijini Dar es salaam alikokuwa
akitibiwa, November 1, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitia
saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Mzee John Tutuba, baba mzazi wa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania
, Emmanuel Tutuba, nyumbani kwa Gavana huyo Oysterbay jijini Dar es salaam November 3, 2024. Mzeee Tutuba alifariki katika
Hospitali ya Shifaa Pan African ya Kinondoni jijini Dar es salaam alikokuwa
akitibiwa , November 1, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Gavana wa Benki Kuu ya
Tanzania, Emmanuel Tutuba nyumbani kwa Gavana huyo Oysterbay jijini Dar es
salaam alipokwenda kumpa pole November 3, 2024, kufuatia kifo cha baba
yake mzazi, John Tutuba kilichotokea
katika Hospitali ya Shifaa Pan African ya Kinondoni jijini Dar es salaam
alikokuwa akitibiwa, November 1, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza neno la faraja kwa Gavana
wa Benki Kuu ya Tanzania, Emmanuel Tutuba, (wa pili kushoto), wanafamilia na
waombolezaji, nyumbani kwa Gavana huyo Oysterbay jijini Dar es salaam
alipokwenda kumpa pole November 3, 2024 kufuatia kifo cha baba yake mzazi, Mzee John Tutuba kilichotokea katika
Hospitali ya Shifaa Pan African ya Kinondoni jijini Dar es salaam alikokuwa
akitibiwa, November 1, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

0 Maoni