Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema watu wengine saba wameokolewa leo Novemba 17, 2024 kwenye jengo liloloporomoka jana Kariakoo.
Chalamila
ameeleza kuwa watu hao waliookolewa walikuwa kwenye eneo la chini (Basement) ya
jengo hilo.
RC Chalamila amesema
kwamba baada ya kuokolewa watu hao saba wamepelekwa hospitali kupatuwa matibabu.
0 Maoni