Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na
kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Bi. Veronika
Mueni Nduva, alipofika Ikulu, Jijini Dar es Salaam leo tarehe 11 Novemba, 2024
ikiwa ni mara ya kwanza kukutana nae tangu Katibu Mkuu huyo aliposhika nafasi
hiyo mwezi Juni, 2024.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na
kufanya mazungumzo na Dkt. Tewodros Beleke Mkurugenzi wa Programu za Dunia na
Mwakilishi wa Susan Buffet Foundation leo tarehe 11 Novemba, 2024 Ikulu Jijini
Dar es Salaam.

0 Maoni