Azam na Tabora United zamfukuzisha kazi Gamondi

 

Uongozi wa timu ya Yanga umetoa taarifa ya kuwa umevunja mkataba wake na Kocha Mkuu wa kikosi cha kwanz, Andel Mguel Gamondi.

Pia, uongozi wa Yanga umesitisha mkataba wa kocha msaidizi wa kikosi cha kwanza, Moussa Ndaw.



Chapisha Maoni

0 Maoni