Rais Samia akutana na viongozi mbalimbali Ikulu ya Dar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na  kuzungumza na Rais wa Samsung C & T Corporation Oh Se-chul pamoja na ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 03 Oktoba, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kundi la Makampuni ya Vodacom Bw. Sakumzi Macozoma pamoja na ujumbe wake mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 03 Oktoba, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Bodi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Abbot Bw. Robert Ford pamoja na ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 03 Oktoba, 2024.

Chapisha Maoni

0 Maoni