Waziri Mkuu azindua taarifa za maboresho ya mazingira ya uwekezaji na biashara

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka kiganja kwenye kishikwambi kuashiria Uzinduzi  wa Taarifa za Maboresho ya Mazingira ya Uwekezaji na Biashara  Pamoja na Nyenzo  za Usimamizi wa  Uwekezaji . Uzinduzi huo ulifanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salam, Septemba 11, 2024. Kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji , Profesa Kitila Mkumbo na kulia ni Naibu Waziri  Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji,  Stanslaus Nyongo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipozindua Taarifa za Maboresho ya Mazingira ya Uwekezaji na Biashara  Pamoja na Nyenzo  za Usimamizi wa  Uwekezaji  kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salam, Septemba 11, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri  wa Nishati Dkt. Doto Biteko wakionesha nakala za Taarifa za Maboresho ya Mazingira ya Uwekezaji na Biashara  Pamoja na Nyenzo  za Usimamizi wa  Uwekezaji  baada ya Waziri Mkuu kuzindua taarifa hizo kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salam, Septemba 11, 2024. Wa tatu kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, wa pili kushoto ni Naibu Waziri Ofisi ya Rais  Mipango na Uwekezaji, Stanslaus Nyongo, wa pili kula ni Katibu Mkuu  Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Tausi Kida, kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Charamila. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Baadhi ya washiriki wa Uzinduzi wa Taarifa za Maboresho ya Mazingira ya Uwekezaji na Biashara  Pamoja na Nyenzo  za Usimamizi wa  Uwekezaji wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipozungumza katika uzinduzi huo kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salam, Septemba 11, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Chapisha Maoni

0 Maoni