Waziri Mkuu ashiriki Mjadala wa Mfumo Jumuishi wa Fedha

 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akishiriki katika mjadala kuhusu miaka 15 ya  mafanikio katika masuala ya Mfumo Jumuishi wa Fedha kwa Maendeleo kwenye mkutano ulioitishwa na Malkia wa Uholanzi, Mhe. Maxima ambaye ni mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Huduma Jumuishi za Fedha, Jijini New York, Marekani Septemba 25, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akishiriki katika mjadala kuhusu kuhusu masuala ya Demokrasia, kwenye mkutano ulioitishwa  na Shirika la Msaada la Marekani (USAID) Jijini New York, Marekani Septemba 25, 2024.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mratibu wa Shirika la Msaada la Marekani (USAID) Samantha Power baada ya kushiriki katika mjadala kuhusu  masuala ya Demokrasia, kwenye mkutano ulioitishwa  na Shirika hilo, Jijini New York, Marekani Septemba 25, 2024. Katikati ni Balozi Dkt. Elsie Kanza, Balozi wa Tanzia nchini Marekani. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mratibu wa Shirika la Msaada la Marekani (USAID) Samantha Power baada ya kushiriki katika mjadala kuhusu  masuala ya Demokrasia, kwenye mkutano ulioitishwa  na Shirika hilo, Jijini New York, Marekani Septemba 25, 2024.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Chapisha Maoni

0 Maoni