Waziri Mkuu ahudhuria Mkutano wa upatikanaji wa nishati

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza kwenye mkutano kuhusu ajenda ya upatikanaji wa nishati ulioandaliwa na Taasisi ya Global Energy Alliance for the People and Planet (GEAPP), mkutano huo umefanyika kwenye makao makuu ya Taasisi ya Rockerfeller Jijini New York Nchini Marekani Septemba 23, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akifuatilia mijadala kwenye mkutano kuhusu ajenda ya upatikanaji wa nishati ulioandaliwa na Taasisi ya Global Energy Alliance for the People and Planet (GEAPP), mkutano huo umefanyika kwenye makao makuu ya Taasisi ya Rockerfeller Jijini New York Nchini Marekani Septemba 23, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Chapisha Maoni

0 Maoni