Kikwete awasilisha mwenendo wa ulipaji wa mafao

 

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Welemavu), Mhe. Ridhwani Jakaya Kikwete, ameongoza timu ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu kuwasilisha taarifa ya mwenendo wa Ulipaji wa mafao ya Wastaafu Bungeni leo, Septemba 4, 2024.

Katika kikao hicho, Mhe. Ridhwani, ameihakikishia Kamati ya Bunge kuwa changamoto zilizokuwa zinakabili mifuko yetu zimeendelea kutatuliwa huku wanachama wakiendelea kulipwa ndani ya Muda wa Siku 60.



Chapisha Maoni

0 Maoni