Waziri Mkuu atembelea kiwanda cha dawa zinazotokana na mimea dawa nchini Cuba

Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama dawa mbalimbali za binadamu zinazotokana na mimea dawa  alipotembelea kwanda kidogo cha dawa hizo cha Cardenas katikati Jimbo la Matanzas nchini Cuba, Agosti 15, 2024. Kushoto kwake ni mkewe Mama Mary Majaliwa, kulia kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa kiwanda hicho Pedro Tanguero na kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitazama chupa za dawa mablimbali za binadamu zinazotokana na mimea dawa  alipotembelea kwanda kidogo cha dawa hizo cha Cardenas katikati Jimbo la Matanzas nchini Cuba, Agosti 15, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Chapisha Maoni

0 Maoni