Rais Samia afungua rasmi Skuli ya Maandalizi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akifungua Skuli ya Maandalizi Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati wa shamrashamra za Tamasha la Kizimkazi katika eneo la Makunduchi, Shehia ya Tasani Kusini Unguja, Zanzibar tarehe 20 Agosti, 2024.

Viongozi mbalimbali pamoja na wananchi wakiwa kwenye hafla ya ufunguzi wa Skuli ya Maandalizi Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati wa shamrashamra za Tamasha la Kizimkazi, Makunduchi, Shehia ya Tasani Zanzibar tarehe 20 Agosti, 2024.

Chapisha Maoni

0 Maoni