Rais Samia azindua kiwanda cha Sukari Mkulazi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akiminya kitufe kuashiria kuzindua kiwanda cha Sukari Mkulazi, Mbigiri mkoani Morogoro, tarehe 7 Agosti, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi, Watumishi na Wananchi wa maeneo Jirani mara baada ya kuzindua kiwanda cha Sukari Mkulazi, Mbigiri mkoani Morogoro, tarehe 7 Agosti, 2024.

Chapisha Maoni

0 Maoni