Rais Samia aweka jiwe la msingi ujenzi wa kiwanda cha SCC na upanuzi wa kiwanda MTPL

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akiweka Jiwe la Msingi kwenye Ujenzi wa Kiwanda Cha Sigara Cha Serengeti (SCC) na Upanuzi wa Kiwanda Cha kuchakata Tumbaku (MTPL) Mkoani Morogoro leo August 06, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya kuweka Jiwe la Msingi kwenye Ujenzi wa Kiwanda Cha Sigara Cha Serengeti (SCC) na Upanuzi wa Kiwanda Cha kuchakata Tumbaku (MTPL) Mkoani Morogoro leo August 06, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Mmiliki na Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha uchakataji tumbaku Mkwawa (MTPL) na Kiwanda cha Sigara cha Serengeti (SCC) Ahmed Huwel wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa Kiwanda cha Sigara cha Serengeti (SCC) Mkoani Morogoro tarehe 06 Agosti, 2024.

Chapisha Maoni

0 Maoni