Ziara ya Rais Samia mkoani Katavi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Wananchi wa Mpanda mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Mpanda mkoani Katavi tarehe 12 Julai, 2024. Rais Mhe. Dkt. Samia ameanza Ziara ya Kikazi Mkoani humo ambapo atakagua na kufungua miradi mbalimbali ya Maendeleo pamoja na kuzungumza na Wananchi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea taarifa ya maboresho ya kiwanja cha ndege cha Mpanda pamoja na jengo la abiria kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) Mussa Mbura mara baada ya kuwasili uwanjani hapo Mkoani Katavi leo tarehe 12 Julai, 2024.

Chapisha Maoni

0 Maoni