Rais Samia ahutubia wananchi wa Tunduma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia Wananchi wa Tunduma Mkoani Songwe wakati akiwa njiani kuelekea Mkoani Dodoma tarehe 18 Julai, 2024 baada ya kuhitimisha Ziara yake ya Kikazi Mkoani Rukwa.

Shamrashamra za Wananchi wa Tunduma katika mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan mara baada ya kuwasili wakati akitokea Mkoa wa Rukwa tarehe 18 Julai, 2024.

Chapisha Maoni

0 Maoni