Rais Dkt. Mwinyi akutana na uongozi wa Stanbic Tanzania

 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Stanbic Tanzania, Manzi Rwegasira na ujumbe wake waliofika Ikulu Zanzibar tarehe 5 Julai 2024.

Katika mazungumzo yao wamegusia kuendeleza ushirikiano kati ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Benki ya Stanbic Tanzania.



Chapisha Maoni

0 Maoni