Dkt. Mpango akagua ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza na wananchi wanaofanya kazi katika mradi wa ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma wakati akikagua maendeleo ya mradi huo akiwa ziarani mkoani Kigoma tarehe 09 Julai 2024.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisikiliza maelezo kutoka kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara Nchini Mhandisi Mohamed Besta kuhusu maendeleo ya ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma wakati akiwa ziarani mkoani Kigoma tarehe 09 Julai 2024.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa katika mradi wa ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma wakati akikagua maendeleo ya mradi huo akiwa ziarani mkoani Kigoma tarehe 09 Julai 2024.

Wafanyakazi wa mradi wa ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma, wakiendelea na shughuli za ujenzi wa uwanja huo, ambao Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amekagua maendeleo yake tarehe 09 Julai 2024.


Chapisha Maoni

0 Maoni