Bei ya mafuta ya petroli yapungua kidogo Julai, dizeli yapanda

 

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei mpya za mafuta kwa mwezi wa Julai, ambapo bei ya mafuta ya petroli imepungua kutoka sh 3,261 mwezi Juni hadi sh 3,210 Julai.

Kwa upande wa mafuta ya dizeli imepanda kwa shilingi tatu kutoka sh 3,112 mwezi Juni hadi kufikia sh 3115 mwezi huu, wakati mafuta ya taa nayo umepanda kutoka sh 3,261 mwezi Juni hadi kufikia sh 3,307 Julai.

Kwa taarifa zaidi bofya linki hapo chini:- 

https://www.ewura.go.tz/wp-content/uploads/2024/07/Cap-Prices-for-Petroleum-Products-wef-3rd-July-2024-Kiswahili.pdf

https://www.ewura.go.tz/wp-content/uploads/2024/07/Cap-Prices-for-Petroleum-Products-wef-3rd-July-2024-English.pdf







Chapisha Maoni

0 Maoni