Waziri Mkuu awahutubia wananchi katika uwanja wa Chato Kati

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi kwenye uwanja wa Chato Kati akiwa katika ziara ya kikazi ya Mkoa wa Geita, Juni 3, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi kwenye uwanja wa Chato Kati akiwa katika ziara ya kikazi ya Mkoa wa Geita, Juni 3, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Mbunge wa Chato, Dkt. Medard Kalemani (kuli) aliyepewa nafasi ya kuzungumza katika mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye uwanja wa Chato Kati mkoani Geita, Juni 3, 2024. Wa pili kushoto ni Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa Geita, Nicholaus Kasendamila na wa tatu kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martine Shigela.  (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu).

Chapisha Maoni

0 Maoni