Waziri Mkuu akutana na Balozi wa Italia aliyemaliza muda wake

  

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Italia Marco Lombardi ambaye amemaliza muda wake nchini, katika Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu Magogoni Jijini Dar es Salaam, Juni 09, 2024 (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Italia Marco Lombardi ambaye amemaliza muda wake nchini, katika Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu Magogoni Jijini Dar es Salaam, Juni 09, 2024 (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpa zawadi ya kumbukumbu ya Picha Balozi wa Tanzania nchini Italia Marco Lombardi ambaye amemaliza muda wake nchini, katika Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu Magogoni Jijini Dar es Salaam, Juni 09, 2024 (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu).

Chapisha Maoni

0 Maoni