Waziri Mkuu akijibu maswali ya papo kwa papo

 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisikiliza Swali kutoka kwa Mbunge wa Viti Maalum Hawa Mwaifunga, Wakati alipokuwa akijibu maswali ya Papo kwa Papo Bungeni jijini Dodoma, Mei 2, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akijibu Maswali ya wabunge wakati wa kipindi cha maswali ya papo kwa papo Bungeni jijini Dodoma, Mei 2, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Chapisha Maoni

0 Maoni