Waziri Mkuu Majaliwa azindua studio za kidijiti za TBC

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipiga Ngoma alipozindua  Studio  za Kidigiti za Radio za Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), barabara ya Nyerere jijini Dar es salaam, Aprili 20, 2024. Kushoto ni  Mrisho Mpoto ambaye ni kongozi wa Bendi ya Mrisho. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye wakicheza muziki kwenye Studio ya Bongo FM wakati Waziri Mkuu alipozindua  Studio za Kidijiti za Radio  za Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), barabara ya Nyerere jijini Dar es salaam, Aprili 20, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza  alipozindua Studio za Kidijiti za Radio za Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), barabara ya Nyerere jijini Dar es salaam, Aprili 20, 2024. Kulia ni Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye na kushoto ni Mtangazaji wa TBC Taifa Mwamini Andrew. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Chapisha Maoni

0 Maoni