Waziri Mkuu Majaliwa azindua boti ya doria

 


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika hafla ya Makabidhiano na Uzinduzi wa Boti ya Doria ya kukabiliana na Vitendo vya kihalifu katika Bahari na Maziwa  Makuu iliyofanyika kwenye Bandari ya Dar es salaam,  Aprili 21,  2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu. Kassim Majaliwa akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Boti ya Doria wakati wa Hafla ya Makabidhiano na Uzinduzi wa Boti hiyo la kukabiliana na Vitendo vya kihalifu katika Bahari na Maziwa Makuu iliyofanyika kwenye Bandarti ya Dar es salaam,  Aprili 21, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Boti ya Doria iliyozinduliwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye Bandari ya Dar es Salaam, Aprili 21, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Chapisha Maoni

0 Maoni