Waziri Mkuu Majaliwa awasili Jijini Arusha

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda  alipowasili kwenye uwanja wa Ndege wa Kisongo jijini Arusha Aprili 11, 2024. Kesho atashiriki katika Ibada Maalum ya Kumbukumbu ya miaka 40 ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Edward Moringe Sokoine itayofanyika Moduli.  Kulia ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha Loy Thomas Ole Sabaya. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda alipowasili kwenye uwanja wa Ndege wa Kisongo jijini Arusha Aprili 11, 2024. Kesho atashiriki katika Ibada Maalum ya Kumbukumbu ya miaka 40 ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Edward Moringe Sokoine itayofanyika Monduli Juu.  Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha, Loy Thomas Ole Sabaya. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Chapisha Maoni

0 Maoni