Waziri Mkuu ashiriki Swala ya Eid Elfitri Dodoma



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Jabir Shekimweri wakati alipowasili katika Msikiti wa Gaddafi mjini Dodoma kushiriki Swala ya Eid Elfitri, Aprili 10.2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa amejumuika na waumini wa kiislamu kwenye Swala ya Eid Elfitri, katika Msikiti wa Gaddafi jijini Dodoma, Aprili 10.2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na waumini wa dini ya kiislamu kwenye Swala ya Eid Elfitri, katika Msikiti wa Gaddafi jijini Dodoma, Aprili 10.2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiitikia dua iliyosomwa na Sheikh wa Mkoa wa Dodoma Alhaj Mustafa Rajabu Shaban kwenye Swala ya Eid Elfitri, katika Msikiti wa Gaddafi jijini Dodoma, Aprili 10.2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu baada ya kushiriki katika Swala ya Eid Elfitri kwenye Msikiti wa Gaddafi jijini Dodoma, Aprili 10.2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

Chapisha Maoni

0 Maoni