Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akizungumza na Mjasiriamali Maanayata Dutt ambaye pia ni mke wa
muigizaji nguli wa filamu kutoka India Sanjay Dutt, Ikulu Jijini Dar es Salaam
tarehe 06 Aprili, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mjasiriamali Maanayata Dutt ambaye pia
ni mke wa muigizaji nguli wa filamu kutoka India Sanjay Dutt, Ikulu Jijini Dar
es Salaam tarehe 06 Aprili, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akimuelezea kuhusu picha ya Mlima Kilimanjaro aliyomzawadia Mjasiriamali
Maanayata Dutt ambaye pia ni mke wa muigizaji nguli wa filamu kutoka India
Sanjay Dutt, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Aprili, 2024.
0 Maoni