Rais Samia akutana na Waziri Mkuu Mstaafu wa New Zealand

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Mwenyekiti wa Bodi ya Extractive Industries Transparency Initiative (EITI), Waziri Mkuu Mstaafu wa New Zealand Mhe. Helen Clark, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Aprili, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mwenyekiti wa Bodi ya Extractive Industries Transparency Initiative (EITI), Waziri Mkuu Mstaafu wa New Zealand Mhe. Helen Clark aliyeambatana na Ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Aprili, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya Extractive Industries Transparency Initiative (EITI), Waziri Mkuu Mstaafu wa New Zealand Mhe. Helen Clark, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Aprili, 2024.

Chapisha Maoni

0 Maoni