Matukio mbalimbali ya Waziri Mkuu Bungeni leo

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Jenista Mhagama, Bungeni jijini Dodoma, Aprii 24, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mchinga, Salma Kikwete, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 24, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Chapisha Maoni

0 Maoni