Dk. Nchimbi kuanza leo ziara ya siku mbili Rukwa

 

Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi leo anaanza ziara ya siku mbili mkoani Rukwa akitokea mkoa wa Katavi.

Dk. Nchimbi anafuatana na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makala pamoja na Katibu wa Organaizesheni Issa Gavu.

Mapema akiwa mkoani Katavi kwenye mkutano wa hadhara Comrade Amos Makala alisikiliza kero mbalimbali za wananchi takriban 30 na kutoa wito kwa viongozi wa serikali na Chama.

Chapisha Maoni

0 Maoni