Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akiwa kwenye Iftar aliyowaandalia viongozi pamoja na makundi mbalimbali
Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 27 Machi, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amebeba Kombe la Ubingwa wakati wa picha ya pamoja na vijana wa Ramadhan Brothers ambao waliibuka washindi wa shindano la America’s Got Talent (AGT) mara baada ya Iftar Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 27 Machi, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Sheikh wa Mkoa wa Dodoma Alhaji Mustafa Rajab Shaban kwenye picha na Watoto Yatima Shuraiya Ramadhan, Dhul-kaya Ramadhan pamoja na Ikramu Selemani wa Kituo cha Watoto Yatima cha Rahman kilichopo Chang’ombe Jijjini Dodoma mara baada ya kufuturu Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 27 Machi, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiitikia Dua mara baada ya kupata Iftar aliyowaandalia Viongozi pamoja na Makundi mbalimbali Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 27 Machi, 2024.
Wageni mbalimbali wakiwa kwenye Futari iliyoandaliwa na Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika viwanja vya
Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 27 Machi, 2024.
0 Maoni