Rais Dk. Mwinyi akutana na wazee wa ACT- Wazalendo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Wazee wa Chama cha ACT- Wazalendo, kikao hicho kilichofanyika Ikulu Pagali Pemba tarehe 29 Machi 2024. 

Chapisha Maoni

0 Maoni