Rais Samia aongoza mazishi ya Hayati Lowassa

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimia waombolezaji kwa ishara wakati akiwasili kwenye ibada maalumu ya mazishi ya Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Mhe. Edward Lowasa nyumbani kwake Monduli Mkoani Arusha leo Februari 17,2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimfariji kwa kumkubatia Mjane Regina Lowassa baada ya kuwasili kwenye ibada maalumu ya mazishi ya Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Mhe. Edward Lowasa nyumbani kwake Monduli Mkoani Arusha leo Februari 17,2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitia saini kitabu cha maombolezo baada ya kuwasili kwenye ibada maalumu ya mazishi ya Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Mhe. Edward Lowasa nyumbani kwake Monduli Mkoani Arusha leo Februari 17,2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitoa heshima za mwisho wakati wa kuaga Mwili wa Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Mhe.Edward Lowasa nyumbani kwake Monduli Mkoani Arusha leo Februari 17,2024.

Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete akitoa heshima za mwisho wakati wa kuaga Mwili wa Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Mhe.Edward Lowasa nyumbani kwake Monduli Mkoani Arusha leo Februari 17,2024. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiweka shada la maua kwenye kaburi la Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Mhe. Edward Lowasa nyumbani kwake Monduli Mkoani Arusha leo February 17,2024.


Chapisha Maoni

0 Maoni