Rais Samia amuapisha Katibu Tawala wa Mkoa wa Iringa

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Ndugu Doris Ntuli Kalasa kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Iringa, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino tarehe 2 Februari, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Ndugu Doris Ntuli Kalasa kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Iringa, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino tarehe 2 Februari 2024.

Katibu Tawala wa Mkoa wa Iringa Ndugu Doris Ntuli Kalasa akila kiapo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwenye hafla iliyofanyika Ikulu ya Chamwino tarehe 2 Februari 2024.

Chapisha Maoni

0 Maoni