Matukio ya bungeni leo Februari 01, 2024

 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisoma taarifa ya Serikali kuhusu hatua iliyofikiwa katika utekelezaji wa Sera ya Elimu na Mafunzo 2014, Toleo la 2023 na Mitaala ya Elimu ngazi ya Elimu Awali, Msingi, Sekondari na Elimu ya Ualimu,  Bungeni jijini Dodoma, Februari 01, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akijibu maswali ya wabunge baada ya kusoma taarifa ya Serikali kuhusu hatua iliyofikiwa katika utekelezaji wa Sera ya Elimu na Mafunzo 2014, Toleo la 2023 na Mitaala ya Elimu ngazi ya Elimu Awali, Msingi, Sekondari na Elimu ya Ualimu,  Bungeni jijini Dodoma, Februari 01, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Profesa Joyce Ndalichako (Katikati) na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-Sera, Bunge na Uratibu Jenista Mhagama (Kushoto), Bungeni jijini Dodoma, Februari 01, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Ulinzi Dkt. Stergomena Tax Bungeni jijini Dodoma, Februari 01, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko akijadili jambo na Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Profesa Joyce Ndalichako, Bungeni jijini Dodoma, Februari 01, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Chapisha Maoni

0 Maoni