Majaliwa azuru kaburi la Hayati Baba wa Taifa

 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiweka shada la maua kwenye kaburi la hayati baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Mwitongo, Butiama mkoani Mara Februari 27, 2024.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiweka akiwasha mshumaa kwenye kaburi la hayati baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Mwitongo, Butiama mkoani Mara Februari 27, 2024.

Chapisha Maoni

0 Maoni