Hii hapa Ratiba ya Msiba wa Hayati Edward Lowassa

RATIBA YA MSIBA WA HAYATI EDWARD NGOYAI LOWASSA, WAZIRI MKUU MSTAAFU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

MONDULI, ARUSHA

JUMAMOSI, TAREHE 17 FEBRUARI, 2024

Muda

Tukio

Mhusika

Saa 12.00 - 01.00 Asubuhi

Wananchi kuwasili katika Viwanja vya Familia, Monduli

 

·      Kamati ya mazishi Kitaifa

·      Familia

Saa 01.00 - 02.00

Chai

Kamati ya mazishi Kitaifa

 

Saa 2.00 -02.20

 

·         Viongozi wa Kimila kuwasili

·         Viongozi wa Dini kuwasili

 

Kamati ya Mazishi Kitaifa

Saa 2.20 – 03.00

·         Viongozi Wakuu wa Kitaifa kuwasili

·         Mhe. Rais kuwasili katika Viwanja vya Familia na kusaini kitabu cha Maombelezo

 

Kamati ya Mazishi Kitaifa

Saa 3.00 – 03.20

Familia wakiongozwa na Mama Regina Lowassa kuwasili

Kamati ya Mazishi Kitaifa

Saa 3.20 – 03.40

Mwili wa Hayati Edward Ngoyai Lowassa kuwasili eneo la Ibada

Kamati ya Mazishi Kitaifa

Saa 3.40 – 03.45

·         Wimbo wa Taifa

·         Wimbo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki

 

JWTZ Brass band

Saa 3.45 – 04.05

Mhe. Rais kuwaongoza Viongozi Wakuu wa Kitaifa kutoa heshima za Mwisho

Kamati ya Mazishi Kitaifa

Saa 04.05 – 04.25

Familia kutoa heshima za Mwisho

Kamati ya Mazishi Kitaifa

 

Saa 04.25 – 06.05 Mchana

 

Ibada Takatifu

 

Viongozi wa Kanisa - KKKT

Saa 06.05 – 06.35

Mazishi ya Kiserikali

·      Kamati ya mazishi ya Kitaifa

·      Familia

Saa 06.35 – 07.05

Mashada ya Maua

MC

Saa 07.05 -07.20

Nyimbo za Maombelezo

·         Wasanii Marafiki wa Familia

·         Peter Msechu

·         Mrisho Mpoto

MC

Saa 07.20 – 07. 30

Wasifu wa Hayati Edward Ngoyai Lowassa, Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Bw. Juma Mkomi, Katibu Mkuu – UTUMISHI

Saa 07.30 – 07.40

Salamu za rambirambi

·         Salamu za Mkoa wa Arusha

·         Bunge la Jamhuri ya Muungano

·         Mh. John Mongela, Mkuu wa Mkoa wa Arusha

·         Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Saa 07.40 -07.45

Salamu za Familia

Mhe. Fredrick Lowassa (Mb)

Saa 07.45 -07.55

Salamu za Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Mazishi na Kumkaribisha Mheshimiwa Rais kutoa salamu za pole

Mhe. Kassim M. Majaliwa (Mb), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Mazishi

Saa 07.55 – 08.25

Salamu za Pole za Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Saa 08.25 – 09.05 Alasiri

 

Viongozi mbalimbali na wananchi kuondoka eneo la msiba

Kamati ya mazishi Kitaifa

 

Saa 09.05   Alasiri

 

 

          

                MWISHO

 

 

 


Chapisha Maoni

0 Maoni